Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: Kutoka Uwanja wa Mkapa hivi ndivyo Wananchi walivyohitimisha jambo lao

 


PICHA: Kutoka Uwanja wa Mkapa hivi ndivyo Wananchi walivyohitimisha jambo lao


Jumapili ya August 30 2020 ndio ilikuwa kilele cha hitimisho cha wiki ya Wananchi ya club ya Yanga SC, ambapo Wananchi kwa maana ya mashabiki wa Yanga SC walijitokeza kwa wingi na kuujaza uwanja wa Mkapa, kilele cha wiki ya Wananchi kilipambwa na burudani mbalimbali ikiwemo kutoka kwa msanii Harmonize.


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.